Plots for sale Cheka Kigamboni

Plots for sale Cheka Kigamboni  - Tanzania
  • Plots for sale Cheka Kigamboni  - Tanzania

Transaction Typesell

Area338 m2

Description :

⚫Ni Viwanja vizuri kwa ajili ya makazi na biashara.
⚫ Huduma zote za kijamii zipo site umeme,maji na Barabara.
⚫Bei ni 15,000/SQM
⚫Vipo umbali wa Kilometre 2.5 kutoka Cheka stand
⚫Viwanja vimepimwa na utapata hati.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali
⚫Unaweza kulipa cash au Kwa awamu.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫ Miradi mingine ipo Mbutu Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Mapinga Bagamoyo, Vigwaza, Kisota Kigamboni, Misugusugu Kibaha,Sofu Picha ya Ndege, Pangani Kibaha...Dodoma maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Itega, Nala Chihoni, Chidachi, Njedengwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Iyumbu, Chamwino, Mtumba.
⚫Ofisi zetu kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma zipo Capital City Mall.
⚫Karibu tukuuzie kiwanja kwa uaminifu mkubwa

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data