Description :
JIPATIE PLAIN TISHETI
NI KWA AJILI YA JINSIA ZOTE
Zipo za aina mbili
1)Zenye kola.
2)Zisizo na kola.
Ukinunua moja bei sh 14,000/=
Ukiagiza mbili bei sh 13,000/=
Kuanzia tatu bei sh 12,000/=
zipo za Rangi mbalimbali
1)Ukiagiza Asubuhi utaletewa mchana.
2)Ukiagiza mchana utaletewa jioni.
3)Ukiagiza jioni utaletewa siku nyingine.
AGIZA SIZE INAYOKUTOSHA, S,M,L AU XL