PID NI NINI ,CHANZO ,DALILI ,MADHARA ,NA TIBA YA YAKE

PID NI NINI ,CHANZO ,DALILI ,MADHARA ,NA TIBA YA YAKE - Tanzania

 • PID NI NINI ,CHANZO ,DALILI ,MADHARA ,NA TIBA YA YAKE - Tanzania

Description :

PIID NI NINI DALILI MADHATA NA TIBA YA UGONJWA HUO

PID(Pelvic Inflammatory Disease)
Ni maambukizi katika via vya uzazi)

Maambukizi haya yanaweza kuletwa na vyanzo mbali mbali kama vile

•Magonjwa : kisonono ,Kaswendwe' Uti au fangasi rudizi

•Utoaji Mimba

•Matumizi ya madawa kiholela

• Vizuizi mimba

•Kua na wapenzi wengi

•Mtindo wa maisha(Ulaji mbovu na kutokuzingatia usafi) na nk

PID ni ugonjwa hatari sana kwa wanawake unao shambulia via vya uzazi na madhara yake ni makubwa sana isipo tibika kwa haraka

HIZI NI BAADHI YA DALILI ZA PID

1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa

2️.Kuwashwa sehemu za siri

3️.Uke kutoa harufu mbaya

4️.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5️.Uke kuwa wa ulaini sana

6️.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7️.Kuvurugika Kwa hedhi

8️.Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi

9️.Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa

10.Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID

•Ugumba

•Kansa ya shingo ya kizazi

•Mirija ya uzazi kuziba

•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

TIBA YA PID

PID inatibika na kupona kabisa
Kwa ushauri swali juu ya tatizo hili waweza kuwasiliana nasi ni bure kabisa .

Tunapatikana
Arusha
Morogoro
Dodoma
Mwanza
Dar es salaam
Mbeya

Gharama iliopo apo sio rasmi kwa ajili ya kutibu P.I.d

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data