Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha

Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
  • Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
  • Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
  • Pid, Miwasho Na Fangasi Zimeisha - Tanzania
Description :

Dalili za pid (kama una moja ya hizi dalili basi fahamu una pid ma wahi suluhisho haraka kabla tatizo halijawa kubwa zaidi)
➡️uti za mara kwa mara
➡️maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto pamoja na maumivu ya kiuno kama cha period na mgongo
➡️sehemu za uke kuwa na ulaini sana na kutokwa na uchafu unaonuka na miwasho mikali
➡️uke kuwa mkavu na kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa
➡️kuvurugika kwa hedhi na mfumo wa homoni
➡️kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
➡️maumivu wakati wa kukojoa
➡️kupata maumivu wakati wa choo
➡️kupata dalili za homa kama kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.
➡️mirija kuziba
➡️mimba kutoka au kushindwa kabisa kupata ujauzito
➡️vimbe
Karibu tukupatie suluhisho la kudumu

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data