Pid(maambukizi Katika via Vya Uzazi)

Pid(maambukizi Katika via Vya Uzazi) - Tanzania
Pid(maambukizi Katika via Vya Uzazi) - Tanzania
  • Pid(maambukizi Katika via Vya Uzazi) - Tanzania
  • Pid(maambukizi Katika via Vya Uzazi) - Tanzania
Description :

⏩fahamu kuhusu pid(maambukizi katika via vya uzazi ) ni maambuki yanayoathiri viungo vya uzazi vya mwanamke.
pid hakika hutokana na mchanganyiko mbalimbali wa magonjwa ya zinaa, hasa yaliyosababishwa na bacteria wa pangusa(chlamydia) au kisonono. Ugonjwa wa pid unapokaa muda mrefu bila kutibiwa, unaweza kusababisha uharibifu mkubwa usiobadirika katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, hasa katika mfuko kizazi(uterus), vifuko vya mayai(ovaries), na mirija ya mayai(fallopian tubes).

▶️visababishi vya pid!

ugonjwa wa kisonono pamoja na pangusa(chlamydia) ndio vyanzo vikuu vya maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke.

mwili wa mawanamke unapokuwa na afya kamili, mlango wa kizazi huwa na nguvu ya kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni.

hata hivyo wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia, hasa kisonono na pangusa, mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake na hivyo kuruhusu maambukizi na bacteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi.

▶️ni rahisi sana kupata ugonjwa huu kama utakuwa unafanya yafuatayo!!!

kuwa na wapenzi wengi ama kutoka nje ya ndoa

kuanza mambo ya mapenzi mapema hasa chini ya miaka 25
kupiga bomba ukeni yaweza kusaidia vimelea kuingia ndani na kusababisha maambukizi katika viungo vya uzazi.

⏩dalili za pid

#maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
#kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya.
#kuhisi maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa
#homa
#kuhisi kichefuchefu ama kutapika
#kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
#kupata hedhi katikati ya hedhi, yaani waweza kupata hedhi mara 2 ndani ya mwezi 1.

tiba
pid inatibika kabisa
tumia natural feminine wash na complete phytoenegizer !!!!

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data