Transaction Typesell
Area208 m2
Description :
Anza mwaka kwa furaha ya kupata kiwanja kizuri, tambarare kilichopimwa chenye huduma zote muhimu za kijamii.
huu ni mradi wa 4 wa viwanja uliopo vikindu-mwajasi wilaya ya mkuranga ni km 1.5 kutoka stendi ya vikindu.
usafiri upo