Transaction Typesell
Area731 m2
Description :
⚫Bei cash ni 2,000 kwa square meter moja na kwa installment bei ni 2,500 kwa square meter moja.
⚫Ni viwanja vilivyopimwa tayari na utapata hati.
⚫Viwanja vipo karibu na mizani ya vigwaza,njia inayoelekea bandari kavu mpya inayojengwa.
⚫Umbali kutoka mizani ya vigwaza Hadi site ni Kilometres 6.
⚫Viwanja vinafaa kwa makazi na biashara.
⚫ Kutembelea site ni kila siku.
⚫Umeme umeshafika site na njia ni nzuri inayopitika.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali kuanzia SQM 650 hadi SQM 1,157
⚫Ofisi zetu nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu sana