Ofa Viwanja Vigwaza Chalinze

Ofa Viwanja Vigwaza Chalinze - Tanzania
Ofa Viwanja Vigwaza Chalinze - Tanzania
 • Ofa Viwanja Vigwaza Chalinze - Tanzania
 • Ofa Viwanja Vigwaza Chalinze - Tanzania

Transaction Typesell

Area990 m2

Description :

Viwanja vimepimwa na vina hati
⚫bei yetu ni 2,000/sqm.
⚫lipia 200,000 kila mwezi hadi ukamilishe(installment)
⚫vipo umbali wa km 6 kutoka vigwaza mizami.
⚫viwanja vipo pembezoni mwa barabara inayojengwa inayoelekea bandari mpya.
⚫ miundombinu ya barabara na umeme tayari imeshafika.
⚫vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 650 hadi sqm 1,247
⚫ kutembelea site ni kila siku,hakuna gharama
⚫eneo ni tambarare na linafaa kwa makazi na biashara
⚫tuna miradi mingine maeneo ya kigamboni kama cheka, kisota , mbutu na chekeni mwasonga..pia tuna miradi maeneo ya madale mivumoni, bunju mji mpya, mwapinga.Kibaha tuna miradi maeneo ya vikawe, pangani , misugusugu, fukayosi na kwa dodoma tuna miradi maeneo ya ihumwa, chamwino, iyumbu, iyumbu, kitelela, nala, chahwa na itega.
⚫wahi sasa ofa hii ya viwanja
⚫ofisi zetu zipo nyuma ya ubungo plaza, karibu sana

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data