Rooms3
Description :
Ipo kitunda kivule matembele
milion 80
ina vyumba v3
dining na siting
stoo na jiko
maj umeme
perving na aluminium
fens na parking (garage)
unatembea tu had stend
kwa kifup hii nyumba imekamilika kila kitu
njoo ukgaue ulipie