Rooms4
Description :
Nyumba Inauzwa miln 35
Ipo pugu mpakani manispaa ya Jiji la Dar es salaam.
Vyumba 4 sitting room master 1 jiko dining room & public toilet. Nyumba Ina maji ya Dawasa na umeme.
Kiwanja sqm. 400 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa. Pia upimaji shirikishi umefanyika.
Unatembea tu had barabara kuu
Whatsap au piga