Rooms3
Area1600 m2
Nyumba za kisasa za biashara zipo 5 kwenye compound moja kila moja ina vyumba3 kimoja master sebule jiko na choo luku yako na parking yako full ac,nyumba hizi zipo kwenye plot ya ukubwa wa sqm1600 zina hati(title deed)nyumba hizi zina faida kubwa sana kuzifanyia biashara aswa wastaafu kuendelea kupata kipato, wafanya kazi wanao taka kujiongezea kupata kipato halali, pia na wafanya biashara wengine wenye mahitaji km ayo waje kwetu zimepunguzwa bei wewe uweze kunufaika sana (valuation) ya nyumba hizo ni kubwa sana @ nyumba moja kwa mwezi kodi laki5 zipo nyumba 5 jumla, wahi usizikose zipo tabata segerea. Kwa maelezo zaidi kajipatia nyumba za kununua za biashara zenye mafremu na maduka makubwa sehemu senta safi tupigie simu bado tunazo.