Transaction Typesell
Area1000 m2
Description :
Viwanja hivi ni vizuri kwa Makazi na biashara.
Maji yameshafika site tayari
Bei kwa square meter moja ni 30,000
Pia vipo vingine ambavyo bei yake kwa square meter moja ni 45,000
Mradi huu wa viwanja upo karibu na hospital ya Mabwepande
Mradi upo umbali wa Kilometre 5 kutokea Main Road.
Pia huu mradi upo karibu na Shuke ya Bweni ya wasichana ya Mabwe Girls
Viwanja vimepimwa na utapata hati yako.
Site tunatembelea kila siku.
Unaweza lipa cash au kwa awamu.