Njia 5 za kutibu ugumba

Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
 • Njia 5 za kutibu ugumba - Tanzania
Description :

JE, JINSI GANI UVIMBE KWENYE MFUKO WA KIZAZI HUATHIRI UJAUZITO PAMOJA NA UWEZO WA KUPATA UJAUZITO?

Fibroids sio salatani bali ni vivimbe amvavyo huota ndani au nje ya mfuko wa kizazi(uterus) au mji wa mimba. Vivimbe vinaweza kushambulia ujauzito au kuondoa kabisa hali au uwezo wa kupata ujauzito.
Tokeo la picha la image of pregnant woman

NUKUU: Vivimbe kwenye kifuko cha uzazi huwa ni vya kawaida kabisa. Tukiangalia asilimia 20%-80% ya wanawake wamekuwa wakipatwa na tatizo la uvimbe wanapofikia umri wa miaka 50, na asilimia 30% ya wanawake wenye umri kuanzia miaka 25 na 44 wamekuwa wakionekana na dalili za uvimbe wa fibroids. Hii inamaanisha kuwa uvimbe wa fibroid unaelekea kuwa wa kawaida sana kwa mwanamke anapofikia umri wa kuzaa.

Je, Nini Madhara Ya Uvimbe Wa Fibroid Kwa Mjamzito?

Wanawake wengi wanaweza wasione madhara ya uvimbe wa fibroid pale wanapokuwa wajawazito. Hata hivyo inaonyesha kuwa asilimia 10%-30% ya wanawake wenye uvimbe wa fibroids hupatwa na madhara wanapokuwa wajawazito. Madhara yanayowapata wajawazito wenye uvimbe wa fibroid huwa ni maumivu makali au kutokwa na damu. Hali hii pia mara nyingi huonekana kwa wanawake wenye uvimbe mkubwa zaidi ya sentimita 5 ambao wenye ujauzito wa miezi 6.

Uvimbe wa fibroid unaweza kuongeza vihatarishi kwa madhara mengine wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua. Ihatarishi hivi huwa kama ifuatavyo:

Mtoto Kushindwa Kukua Tumboni: Uvimbe mkubwa wa fibroid unaweza kuzuia kiumbe tumboni kisikue kutokana na kupungua kwa nafasi kwenye mji wa mimba.

Kubanduka Kwa Kondo(Placental Abruption): Hali hii hutokea wakati kondo linapobanduka kwenye ukuta wa mfuko wa uzazi kwasababu limezibwa na uvimbe wa fibroid. Hali hii hupunguza hewa ya oksijeni pamoja na virutubishi.

Kuzaa Mtoto Kabla Ya Muda Wake: Maumivu yatokanayo na uvimbe wa fibroid yanaweza kusababisha mfuko ukafinyana hali ambayo inaweza kupelekea mama mjamzito kujifungua mtoto kabla ya muda wake.

Mimba Kuporomoka: Utafiti unaonyesha kuwa nafasi ya mimba kutoka ika mara dufu zaidi kwa wanawake wenye uvimbe wa fibroid.

Je, Nini Madhara Ya Ujauizto Kwenye Vivimbe Vya Fibroids

Ukubwa wa fibroid huwa haubadiriki katika ukubwa wake wakati mwanamke anapokuwa mjamzito, lakini baadhi ya vivimbe hupungua. Kusema kweli, 1/3 ya chanzo cha uvimbe wa fibroid unaweza kuota pale mwanamke anapokuwa na ujauzito wa mwezi 1-3.

Tokeo la picha la image of pregnant woman in a first trimester

Ukuaji wa uvimbe huu huchochewa na homoni ya estrogen, na viwango vya homoni ya estrogen hupanda juu wakati wa ujauzito. Hali hii inaweza kusababisha uvimbe kuanza kuota.

NUKUU: Lakini bado pia kwa wanawake wengine, uvimbe unaweza ukasinyaa kabisa wakati wa ujauzito. Katika utafiti inaonyesha kuwa alilimia 79% ya uvimbe ambao uliokuwepo hapo awali kabla ya kupata uajuzito hupungua ukubwa wake baada ya kujifungua.

Je, Nini Madhara Ya Uvimbe Kwenye Uzazi?

Wanawake wengi wenye uvimbe wa fibroid wanaweza kupata ujauzito vizuri kabisa. Matibabu na yanaweza yasiwe ya lazima sana. Kwa upande mwingine hata hivyo uvimbe wa fibroid unaweza kushambulia uwezo wa mwanamke kuzaa. Kwa mfano, uvimbe wa fibroid aina ya submucosal ambao huota na kupanuka kwenye kizazi, kwahiyo huongeza vihatarishi vya ugumba au kutokupata ujauzito kabisa.

Pamoja na kuwa uvimbe wa fibrois unaweza kusababisha hali ya ugumba kwa baadhi ya wanawake, lakini bado maelezo mengine ya ugumba yanaonyesha kuwa ya kawaida kabisa. Ikiwa kama una tatizo la kutokubeba ujauzito, daktari wako anaweza kukuelezea vyanzo vingine kabla hajakuambia habari ya uvimbe.

Je, Dalili Za Uvimbe Zinakuwaje?

Unaweza usiwe na dalili zozote za za fibroids. Kama huna dalili zozote, dalili kuu huwa ni zifuatavyo:

Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
Kutokwa na damu ya hedhi mara 2 kwa mwezi

Kutokwa na matone ya damu

Kupungukiwa na damu kutokana na kutokwa damu nyingi

Kutokwa na damu muda mrefu

Tumbo kujaa gesi

Kuhisi maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa

Maumivu ya kiuno

Kukosa choo

Kukojoa ma

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • Never send money to "book" an item, avoid paying before seeing the it.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matching the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data