NJIA 3 NILIZOZITUMIA KUWASAIDIA WENYE SHIDA YA MIGUU KUWAKA MOTO

NJIA 3 NILIZOZITUMIA KUWASAIDIA WENYE SHIDA YA MIGUU  KUWAKA MOTO - Tanzania
NJIA 3 NILIZOZITUMIA KUWASAIDIA WENYE SHIDA YA MIGUU  KUWAKA MOTO - Tanzania
  • NJIA 3 NILIZOZITUMIA KUWASAIDIA WENYE SHIDA YA MIGUU  KUWAKA MOTO - Tanzania
  • NJIA 3 NILIZOZITUMIA KUWASAIDIA WENYE SHIDA YA MIGUU  KUWAKA MOTO - Tanzania
Description :TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)

Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengi sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.

NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba kupelekea kusababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwani husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia.

Wasiliana nasi kwa Piga/sms/kwa ajili ya suluhisho na pia tunatoa ushauri wa afya bure.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data