NI SIRI GANI IPO? WANAWAKE KUZIBA MIRIJA YA UZAZI..

NI SIRI  GANI IPO? WANAWAKE KUZIBA MIRIJA YA UZAZI.. - Tanzania
  • NI SIRI  GANI IPO? WANAWAKE KUZIBA MIRIJA YA UZAZI.. - Tanzania
Description :

Je wajua KWANINI mirija imeziba?

KWANINI mirija imejaa maji?

KWANINI haupatimimba?

Sasa twende Pamoja Wenda ujumbe huu ukawa ujumbe muhimu saana wa kufungia mwaka ukiwa na Afya tele na pia ukakusaidia
kuwa na neema ya kupata mtoto. Sasa soma Hadi mwisho.

KUJAAMAJINII NINI? Haliya kujaa maji kwa mirija ya uzazi ya wanawake huitwa hydrosalpinx kwa kitaalamu. Ni tatizo ambalohujitokeza kwa wanawake kutokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa yasiyo tibiwa (pelvic inflammatory disease)P.I.D. Mara nyingi husababisha tatizo la ugumba na maumivu ya kiuno. Mirija ya uzazi hujishikizakwenye upandewa kulia na kushoto wa tumbo la uzazi, hupitisha mayai kila mwezi kutoka kwenye ovari kwenda kwenye mji wa uzazi. Urutubishaji wa yai la uzazi hutokea katika mirija hii.
SABABUZA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA Mara nyingi mirijaya uzazi kuzibahutokana na; Pelvicinflammatorydisease yaana
(P.I.D)unaotokananaa maambukizi ya magonjwa ya zinaaambayo hayakutibiwa kama kisonono naklamidia.TB ya mirijaya uzaziUpasuaji maeneoya kiunoni (pelvic surgery)EndometriosisMaambukizi ya apendiksi (appendicitis)Saratani ya mirija ya uzazi.

DALILI ZA TATIZO HILI .
Wengi wanaweza wasiwe nadalili zozote,isipokuwa kupata matatizo katika kupata mtoto. Dalili zinazojitokeza mara nyingi huwa ni;

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data