NGUVU PACK YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME/ERECTILE DYSFUNCTION

NGUVU PACK YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME/ERECTILE DYSFUNCTION - Tanzania
  • NGUVU PACK YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME/ERECTILE DYSFUNCTION - Tanzania
Description :

LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ...✍️....?✍️...?✍️....?✍️...?

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.

Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ,Uume kuwa dhaifu ,au ili usimame vizuri mpaka Usikuumize ukeni ndipo Usimame nk.

Na Endapo Mwanaume atashindwa kufanya mapenzi kikamilifu Zaidi ya Miezi sita mtu huyu anahitaji tiba, na katika kipindi chote hiki Mwanaume anakuwa anaogopa Kushiriki tendo la ndoa ,anakosa kujiamini na hataki kabisa kuskia kuhusu tendo la ndoa.

Kitendo Hiki huleta Mgogoro katika Mahusiano na ndoa kutokana na Maswali yanayojengeka kichwani, Mwanaume anawaza na anakua na hofu ya kumpoteza Mwenza wake ,wakati huo huo , Mwanamke anakuwa na Mawazo lukuki Juu ya Mwanaume Wake maswali common huwa ni au Mwanaume Wangu amepata Mwanamke Mwingine,? Au Simvutii Tena ? Au Hana Hamu na Mimi au Simridhishi ? Maswali haya huzunguka kichwani Mwa Mwanamke bila Majibu Chuki na hasira dhidi ya Mwanaume kujengeka, taratibu nae anaanza kupoteza hisia za Mapenzi na hatimae Amani katika mahusiano au ndoa huweza Kutoweka ,Madhara Yake ndoa inaeza hata kuvunjika...

Sasa Nani Yupo Kwenye hatari ya kupata tatizo la Nguvu za kiume?

Ikiwa unapenda kula vyakula vyenye mafuta mengi , Sukari ,wanga Kupita Kiasi na Chumvi , haunywi maji ya kutosha haushulishi Mwili ,mda Mwingi umekaa "sendentary lifestyle" upo Kwenye hatari ya kupata tatizo la Nguvu za kiume

Ikiwa Ni mlevi na mvutaji wa sigara Sana.

Ikiwa haupati mda mzuri wa kupumzika na kulala vyote hivi huchangia katika kupata tatizo la Nguvu za kiume kwa kuwa life style ya Namna hii Hupelekea magonjwa ya mashambulizi ya Kinga Kama kisukari,magonjwa ya Moyo ,Uzito mkubwa/vitambi , Mvurugiko wa Vichocheo "hormones" nk

Pia unakua katika hatari zaidi ikiwa Ni mpenzi wa kuangalia Picha na video za ngono na kupiga punyeto ,tafti zinaonesha Vitu hivi huathiri na kuua Sehemu ya hisia katika ubongo Hali inachangia Tatizo la nguvu za kiume kwa Vijana, kwamba Ni Rahisi kutumia image au video si zaidi ya Mara tatu kupiga punyeto, ubongo huchoka na kukuamuru kutumia image nyingine Ili kupata hisia hivyo Ni Rahisi kukosa hisia kwa Mwanamke wako wa kila Siku Ila Ukienda kwa mchepuko unakuta tatizo Hilo Hakuna Hiki Ni kuashiria kuwa tayari una tatizo na unahitaji Tiba.

TIBA NA USHAURI.
Kuondoa tatizo la Nguvu za kiume itahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalamu baada ya kujua chanzo cha hali hiyo kutokea kwani kama tulivyoona hapo juu, sababu za tatizo hili kutokea zipo nyingi.Pia tunazo dawa za asili/naturalCeutical utakazotumia kumaliza tatizo lako baada ya kupata ushauli wa daktari.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data