Ngiri/hernia

Ngiri/hernia - Tanzania
Ngiri/hernia - Tanzania
  • Ngiri/hernia - Tanzania
  • Ngiri/hernia - Tanzania
Description :

Fahamu kuhusu ngiri!!
ngiri au hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiriwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.

katika mwili wa binadamu, tatizo hili huweza kutokea -maeneo ya tumboni,
- katika eneo la kinena,
-eneo la paja kwa juu
- eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji (operesheni).

vitu vinavyoweza sababisha upate ngiri

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data