Transaction Typesell
Area625 m2
Description :
Nauza kiwanja kilicho zungushiwa red kipo kigamboni mwongozo, karibu na mwongozo national housing estate, mwendo wa dakika 10-15 kuelekea baharini.
sehemu muhimu jirani na kiwanja ni mwongozo primary school, mwongozo dispensary, mwongozo catholic church, mwongozo mosque. Etc