Namna Ya Kuondoa Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi Bila Kutumia Dawa.

Namna Ya Kuondoa Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi Bila Kutumia Dawa. - Tanzania
  • Namna Ya Kuondoa Maumivu Makali Wakati Wa Hedhi Bila Kutumia Dawa. - Tanzania
Description :

Hello,
Najua unakutwa na tatizo hili la maumivu wakati wa hedhi ningependa kukupa mbinu nzuri na rahisi za kuyaondoa maumivu bila dawa ukiwa nyumban kwako .Hivyo kabla hatujaanza na mbinu zenyewe tujue NI kitu gani kwanza .

Dysmenorrhea Ni Kitu Gani?
Dysmenorrhea ni jina la kitabibu kwa maumivu kipindi cha hedhi, ambayo hutokana na kusinyaa kwa misuli ya mji wa mimba wakati wa kipindi cha hedhi ili kuruhusu kumeguka kwa ukuta wa mfuko wa mimba na kutoa damu iliyochanganyika na yai ambalo halikurutubishwa nje.mumivu haya yamegawanyika katika aina mbili

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data