NAMNA YA KUONDOA HARUFU MBAYA UKENI NDANI YA SIKU 30

NAMNA YA KUONDOA HARUFU MBAYA UKENI NDANI YA SIKU 30   - Tanzania
  • NAMNA YA KUONDOA HARUFU MBAYA UKENI NDANI YA SIKU 30   - Tanzania
Description :

Kama kuna kitu kinachomkera mwanamume katika uwanja wa sita kwa sita basi ni harufu chafu katika mwili wa mwanamke hasa sehemu zake za siri(Ukeni).

Makala hii imegusia usafi wa uke kwa wanawake hasa ukizingatia ndio sehemu muhimu sana katika mahusiano na inayohitaji usafi wa hali ya juu sana pengine kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili wa mwanamke.

JINSI YA KUSAFISHA UKE

Njia bora ya kusafisha uke ni yakutumia maji safi bila kutumia sabuni ya aina yoyote. Mara nyingi wanawake hutumia sabuni ya aina yoyote kujisafisha, la hasha! si vibaya lakini ni vizuri ukatambua kuwa iwapo utatumia sabuni hakikisha kuwa haingii sehemu ya ndani ya uke iishie sehemu za juu ya uke pekee.

Iwapo sabuni itaingia ndani ya uke huleta Bakteria wabaya ambao baada ya muda mfupi huleta madhara makubwa ikiwemo na harufu mbaya. Huenda ukashangaa kusikia kutumia sabuni.

Kusafisha uke kuna hatari lakini sabuni huondoa mafuta ya asili ya ndani ya uke na kusababisha ukavu ukeni kitu ambacho si kizuri, hasa ukizingatia kuwa aina nyingi za sabuni zina dawa iitwayo CHLOROPHENOL ambayo huondoa aina zote za Bakteria katika uke wakiwemo Bakteria wa ulinzi.

Hali hiyo hupelekea nafasi ya Bakteria wabaya kumea kwa kasi, hivyo kupelekea harufu mbaya au uchafu sehemu za uke. Hivyo unapoosha uke hakikisha unaepuka kuingiza maji yenye sabuni ndani ya uke, chukua maji safi osha uke bila kuingiza ndani.

Jitaidi unapoingia bafuni hakikisha kuwa bafu ni safi ikiwezekana lifanyie bafu usafi kiasi ambacho utaridhika nacho kwa kuzingatia kuwa bafuni ni moja ya viwanja vinavyopelekea kuwapa magonjwa kwa urahisi wanawake hasa likiwa chafu. Kwa elimu zaidi karibu katika group letu LA WhatsApp ambapo utapata elimu hii kwa undani zaidi bure tutumie ujumbe mfupi was maandishi ama tupigie simu ili kujiunga na kikundi chetu

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data