Mvurugiko Wa Hormone Kwa Mwanamke

Mvurugiko Wa Hormone Kwa Mwanamke - Tanzania
  • Mvurugiko Wa Hormone Kwa Mwanamke - Tanzania
Description :

DALILI ZA hormone IMBALANCE

1.ukavu uken

2.Maumivu wakat wa tendo

3.Maumivu chini ya kitovu

4.Mabadiliko ya siku za hedhi

5.kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku sab au kujaza pedi moja kwa saa moja)

6.Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

7.Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

8.Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

Usipuuuze sio lazima uwe na dalili zote wai mapema kuepuka madhara makubwa na gharama ya matibabu

MADHARA YA HORMONE IMBALANCE

1.•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

2•Mimba kuharibika mara kwa mara;

3•Kukosa mtoto au Ugumba

4•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

5•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

6•UTI na PID za mara kwa mara au rudizi

7•Kuzeeka mapema

8•Kuziba kwa mirija ya uzazi

9•Saratani

10•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

SULUISHO LA HORMONE IMBALANCE

Tume wasaidia wengi sana wenye changamoto kama hiyo na wamepona kabisa kwa kutumia Virutubisho lishe

Uliza Sawali lolote au ukitaka kufahamu zaidi wasiliana nasi

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data