Mvurugiko Wa Homoni

Mvurugiko Wa Homoni - Tanzania
Mvurugiko Wa Homoni - Tanzania
  • Mvurugiko Wa Homoni - Tanzania
  • Mvurugiko Wa Homoni - Tanzania
Description :

MVURUGIKO WA HOMONI (HOMONAL IMBALLANCE)
Fahamu Sababu , dalili, madhara na suluhisho!!!!

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichocheo katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika.

# Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini pia kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilimia kubwa huanza kutokea wakati wa balehe, hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

Hii husababishwa na kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone.

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

•Uwepo wa takamwili nyingi na sumu mwilini
•Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
•Umri ukienda sana
•Kukoma kwa hedhi
•Kutofanya mazoezi
•Uzito mkubwa
•Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
•Msongo wa mawazo
•Upungufu wa lishe mwilini
•Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
•Utoaji wa mimba
Family History (Upungufu au ongezeko la homoni ya progesterone na Estrogen)
Ongezeko la homoni ya Androgen. Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

DALILI
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa
ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati

MADHARA

Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
-Mimba kuharibika mara kwa mara
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Uvimbe (Fibroids and Cysts)

SULUHISHO

Tumia Complete phytoenegizer KWA ajili ya kutibu tatizo Hili au tumia KWA ajili ya kujikinga na tatizo Hili, hii Ni product yenye virutubisho 16,000

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data