Description :
Multi gym machine Ni maalumu kwa Matumizi ya Domestic & semi commercial
Machine hii ni Full body workout ikiwa na triceps rope na Lat pull down bar na Weight loaded yake ni mpaka 60kg
Free delivery in Dar es Salaam na Assembling ni bure