Transaction Typesell
Area731 m2
Viwanja Vinauzwa na Property Investors Company (PIC) Vigwaza Mlandizi vina sifa zifuatazo:
⚫Vipo karibu na bandari kavu ya Kwala.
⚫Vipo km6 kutoka Vigwaza Mizani.
⚫ Viwanja ni vikubwa Vinaanzia SQM 650(yaani 40 Kwa 16) mpaka SQM 1247.
⚫Bei Vinaanzia million 1.9
⚫Malipo ni cash au Kwa awamu ya mpaka mienzi 12.
⚫Anza kulipia Kwa laki mbili Tu mpaka unamaliza.
⚫ Viwanja vimeshapimwa tayari,Hati kutoka Wizarani inakusubiri.
⚫ Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, Katambe Street opposite na kanisa la KKKT
⚫Miradi mingine ya Viwanja ipo maeneo ya Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Kerege, Vikawe Kimele Baobab, Vikawe Mpiji, Bunju, Goba, Madale Mivumoni, Mbutu Kigamboni, Cheka Kigamboni, Mwongozo Kigamboni, Mwasonga Kigamboni... Dodoma tuna Viwanja maeneo ya Ihumwa, Chahwa, Vikonje, Kitelela, Chamwino, Mtumba, Mahoma Makulu, Nala Chihoni, Nala Ringroad, Chidachi.