Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Pangani

Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Pangani - Tanzania
Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Pangani - Tanzania
  • Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Pangani - Tanzania
  • Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Pangani - Tanzania

Transaction Typesell

Area425 m2

Description :

Property Investors Company (PIC) kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa viwanja,inakuletea ofa ya viwanja eneo la Pangani Kibaha vyenye sifa zifuatazo:
⚫Ni viwanja vizuri kwa ajili ya Makazi na biashara.
⚫Vipo umbali wa Kilometre 4 toka stand ya maili moja na Morogoro road.
⚫Bei Vinaanzia million 5 na kuendelea.
⚫Ukubwa Vinaanzia SQM 375 na kuendelea.
⚫Unaweza lipa cash au kwa awamu ya mpaka miezi4
⚫Viwanja vyote vimepimwa tayari na utapata hati.
⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Kwa Dodoma tupo Capital City Mall.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Misugusugu Kibaha, Vigwaza, Vikawe-Kimele Baobab, Mapinga Bagamoyo, Madale Mivumoni, Bunju Mji mpya,Mbutu Kigamboni,Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Kisota..Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Kitelela, Iyumbu,Chahwa,Nala Chihoni,Nala Lugala,Itega.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data