MOYO KUTANUKA/MOYO ULIOTANUKA/MAGONJWA YA MOYO/TIBA YA MOYO/DALILI ZA UGONJWA WA MOYO.

MOYO KUTANUKA/MOYO ULIOTANUKA/MAGONJWA YA MOYO/TIBA YA MOYO/DALILI ZA UGONJWA WA MOYO. - Tanzania
MOYO KUTANUKA/MOYO ULIOTANUKA/MAGONJWA YA MOYO/TIBA YA MOYO/DALILI ZA UGONJWA WA MOYO. - Tanzania
  • MOYO KUTANUKA/MOYO ULIOTANUKA/MAGONJWA YA MOYO/TIBA YA MOYO/DALILI ZA UGONJWA WA MOYO. - Tanzania
  • MOYO KUTANUKA/MOYO ULIOTANUKA/MAGONJWA YA MOYO/TIBA YA MOYO/DALILI ZA UGONJWA WA MOYO. - Tanzania
Description :

MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO.

MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO.


###Sababu za moyo kutanuka, sababu za misuli ya moyo kutanuka, ugonjwa wa misuli ya moyo, presha, presha ya kupanda, presha ya kushuka/dalili za magonjwa ya moyo/dawa ya moyo/nini sababu za moyo kutanuka/chembe ya moyo/shambulio la moyo/moyo kushindwa kufanya kazi/heart failure/aina za magonjwa ya moyo, dalili za magonjwa ya moyo, tiba ya magonjwa ya moyo, chanzo cha magonjwa ya moyo###


Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla(Structural and vessels disease).

Kukitokea shida yeyote katika moja ya vitu hivyo, mtu huanza kuhisi dalili mbaya kwenye mwili wake na atakapopima hubainika na tatizo la moyo.

Magonjwa ya moyo ni mengi sana ila leo naweza kukutajia machache ambayo naweza kukusaidia.

1.Kupanda kwa shinikizo la juu la damu(high blood pressure)

2.Moyo kutanuka(cardiomegaly)

3.Ugonjwa wa misuli ya moyo(cardiomyopathy).

4.Ugonjwa wa mishipa ipelekayo damu kwenye moyo (Coronary artery diseases)

5.Moyo kushindwa kufanya kazi yake (Heart failure).

6.Shambulio la moyo (Heart attack).

Magonjwa ya moyo ni sababu kuu ya vifo vingi duniani kote, hii ni kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) huku sababu za magonjwa haya zikitajwa kuwa ni pamoja na;

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data