Transaction Typesell
Area381 m2
✓viwanja vimepimwa na vina hati
✓bei yetu cash ni 8000/sqm na kwa installment(mienzi 6 mpaka 12) bei ni 8500/sqm
✓vipo karibu na checkpoint(ofisi za wakala wa vipimo)
✓vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 122 hadi sqm 717
eneo ni tambarare na linafaa kwa ajili ya makazi na biashara.
miundombinu ya maji na umeme tayari imeshafika.
tuna miradi mingine maeneo ya kigamboni kama cheka, kisota , mbutu na chekeni mwasonga... pia tuna miradi maeneo ya madame mivumoni, bunju mji mpya, mwapinga.Kibaha pwani tuna miradi maeneo ya vikawe, pangani , fukayosi na kwa dodoma tuna miradi maeneo ya ihumwa, chamwino, iyumbu, iyumbu, kitelela, nala, chahwa na itega.