Transaction Typesell
Area715 m2
⚫Bei zetu ni za punguzo yaani 8,000 kwa square meter moja na kama utalipa kwa instalment bei ni 8,500 kwa square meter moja.
⚫Malipo ni cash au kwa awamu ya mpaka miezi 6.
⚫Mradi huu wa viwanja upo karibu na Check point ofisi za wakala wa vipimo.
⚫Viwanja vimepimwa na utapata hati.
⚫ Miundombinu ya maji,umeme, barabara inapatikana.
⚫Viwanja ni tambarare na vinafaa kwa makazi na shughuli za kibishara.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫Vipo vya ukubwa mbalimbali.
⚫Pia miradi mingine ya viwanja ipo Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Mbutu Beach Plot Kigamboni, Kisota.. Pangani Kibaha, Vikawe, Mapinga Bagamoyo, Vigwaza, na Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Mahoma Makulu, Itega, Ihumwa Elshaadai..
⚫Ofisi zetu kwa Dar es Salaam zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu sana