Transaction Typesell
Area370 m2
⚫ Uwekezaji nzuri,ni Uwekezaji wa kwenye ardhi, Property Investors Company (PIC) tunauza Viwanja eneo la Cheka Kigamboni.
⚫Viwanja vimepimwa tayari na utapata hati kwa jina lako mwenyewe
⚫Bei yetu ni 15,000 tu kwa kila square meter moja.
⚫Tuna viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫Mradi huu wa Viwanja upo umbali wa Kilometre 3 kutoka stand ya Cheka.
⚫Ukilipa cash tunakupunguzia bei, pia unaweza lipa kwa awamu.
⚫Eneo ni zuri kwa makazi na biashara.
⚫Site tunatembelea kila siku.
⚫ Miradi mingine ipo Mbutu Beach Plot Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha,Sofu Picha ya Ndege, Pangani Kibaha, Vikawe, Mapinga Beach Plot Bagamoyo, Vigwaza, Kisota.. Dodoma maeneo ya Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala, Iyumbu, Kitelela, Mahoma Makulu, Ihumwa Elshaadai,Nala Chihoni, Chidachi, Njedengwa...
⚫Karibu ofisini kwetu tukuhudumie.