Transaction Typesell
Area636 m2
Ndiyo,Kwa Bei nafuu kabisa.Ni Property Investors Company (PIC) inakuletea fursa ya kumiliki kiwanja Mbutu Kigamboni vyenye sifa zifuatazo:
π Viwanja vipo Km4 toka Maghorofa ya Dege(Kimbiji road)
π Viwanja vimepimwa tayari kupata Hati toka Wizarani.
πVipo Viwanja vya ukubwa mbali mbali kuanzia SQM 400(20kwa20) mpaka SQM 727(27kwa28)
π Viwanja vimepakana na Mikoko
π Bei Vinaanzia million 5
π Lipia kidogo kidogo mpaka unamaliza
πSite tunaenda kila siku hakuna charge
πTuna miradi mingine maeneo ya Cheka Kigamboni, Mwongozo Kigamboni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vigwaza Mlandizi Kwala, Kerege, Vikawe Kimele Baobab, Vikawe Mpiji, Bunju, Goba, Madale Mivumoni...Tuna mashamba maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa.. Dodoma Miradi yetu ya Viwanja ipo maeneo ya Ihumwa, Chahwa, Vikonje B, Kitelela, Chamwino, Mtumba, Mahoma Makulu, Nala Chihoni, Nala Ringroad, Chidachi.
πFika ofisi zetu zilizopo nyuma ya Ubungo plaza, Katambe Street opposite na kanisa la KKKT