Description :
Kitabu kinafundisha masuala muhimu yanayohusiana na mikopo na biashara kama vile rba, aina za riba, mkopo mbaya na mzuri, mambo ya kutathimini kabla ya kuchukua mkopo na namna unavyoweza kutumia mkopo ili ukusaidie kwenye biashara yako