Description :
MAELEZO YAKE
Ni kwa ajili ya kuweka vitu mbalimbali.
>>Inafaa kutumika ofisini pamoja na nyumbani.
>>Inaweza kutumika kwa kusomea,kuweka computer.
>>Kuweka kompyuta,kuweka vitabu
>>Imetengenezwa kwa mbao na misumari.
>>Itapakwa rangi ya kupuliza na mashine,ili kufanya kuwa na mwonekano wa kupendeza na kuvutia.
>>Ukubwa wake ni (42.5inchiL*15.5inchiW*32.5inciH) urefu 102cm, upana37.2 cm,kimo 78cm
NAMNA YA KUIPATA
**Ninatengeneza kwa oda,ukihitaji bidhaa unaweka oda kisha ninakuletea.
**Utalipia baada ya bidhaa kufika.
**Utapewa lisiti ya bidhaa uliyonunua.