Transaction Typesell
Area338 m2
Description :
Ni viwanja vizuri na vya kuvutia kwa ajili ya makazi na biashara
✓vipo upande wa bahari na vimeface mikoko.
✓bei ni 15,000/sqm
✓vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia sqm 284 mpaka 700 sqm
✓malipo ni kwa cash au unalipa kwa awamu.
✓site visit ni kila siku na ni bure.
✓viwanja vimepimwa na vina hati
✓tuna miradi ya viwanja vingine maeneo ya bunju, madale, kisota,cheka, vikawe misugusugu, mwasonga, na kwa dodoma maeneo ya kitelela, nala, chamwino, chahwa, mtumba, ihumwa, iyumbu, itega.