Transaction Typesell
Area484 m2
⚫Ni viwanja vizuri kwa wanaopenda kuwa karibu na bahari.
⚫Viwanja vimepakana na mikoko.
⚫Bei yetu ni nafuu 15,000/SQM.
⚫Kutoka site hadi baharini ni umbali wa mita 400.
⚫Njoo tukupeleke site ukajionee kwani tunaenda kila siku.
⚫Huwezi lipa cash basi una nafasi ya kulipa kwa awamu.
⚫Viwanja vipo vya ukubwa mbalimbali, wahi sasa uchague kiwanja kizuri.
⚫Miradi mingine ya viwanja ipo Cheka, Kisota, Chekeni Mwasonga, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe, Mapinga Beach Plots Bagamoyo, Vigwaza..Dodoma tuna viwanja maeneo ya Itega, Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Lugala,Nala Chihoni, Kitelela, Mahoma Makulu..