Transaction Typesell
Area402 m2
PROPERTY INVESTORS COMPANY (PIC), inakuletea viwanja Mbutu Beach Plots Kigamboni vyenye sifa zifuatazo:
⚫Ni Viwanja vizuri kwa makazi na Uwekezaji.
⚫Viwanja vimepimwa na utapata hati.
⚫Bei yetu kwa square meter moja ni 15,000
⚫ Viwanja vipi umbali wa Kilometre 17 kutoka ferry.
⚫Umbali kutoka vilipo viwanja hafi baharini ni mita 400.
⚫Viwanja vimetizamana na mikoko.
⚫Site tunatembelea kila siku na hakuna charge.
⚫Unaweza lipa cash au kwa awamu.
⚫ Kampuni inauza Viwanja sehemu nyingine kama Cheka Kigamboni, Kisota Kigamboni, Mapinga Beach Plots, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Sofu Picha ya Ndege, Vigwaza Pwani, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni,Na Dodoma maeneo ya Chamwino, Iyumbu, Mtumba, Nala Lugala, Ihumwa Elshaadai, Mahoma Makulu, Kitelela.
⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City Mall
⚫Karibu Sana