Transaction Typesell
Area428 m2
⚫ Viwanja hivi vipo upande wa bahari na vimeface mikoko.
⚫Bei yetu cash ni Tshs 15,000 kwa kila square meter moja.
⚫ Mradi huu wa Viwanja upo umbali wa Kilometre 17 kutoka fery na Kilometres 19 kutoka daraja la Nyerere.
⚫Unaweza lipa cash au Kwa installment.
⚫ Viwanja vimepimwa na utapata hati.
⚫Ni Viwanja vizur kwa makazi na biashara.
⚫ Kutembelea site ni kila siku.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫Pia tuna miradi mingine ya Viwanja maeneo ya Kisota Kigamboni, Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe , Mapinga Bagamoyo na Dodoma pia tuna miradi ya Viwanja maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Chamwino, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela, Iyumbu West.
⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza na kwa Dodoma tupo Capital City Mall...Karibu tukuuzie