Transaction Typesell
Area415 m2
⚫Viwanja ni vizuri kwa makazi na biashara.
⚫Bei yetu ya offer kipindi hichi cha Sabasaba yaani 15,000 kwa kila square meter moja.
⚫Viwanja vipo upande wa bahari na vimezungukwa na mikoko.
⚫Viwanja hivi vimeshapimwa tayari na utapata hati.
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometre 17 kutoka fery,na kutokea Darajani vipo umbali wa Kilometre 19.
⚫Unaweza lipia kwa cash au kidogo kidogo.
⚫ Kutembelea site kila siku.
⚫Miradi mingine ya viwanja ipo Cheka Kigamboni, Chekeni Mwasonga Kigamboni, Kisota Kigamboni, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha, Vikawe, Mapinga Bagamoyo Beach Plot, Bunju Mji mpya, Madale Mivumoni,...Dodoma tuna maeneo ya Ihumwa Elshaadai, Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala, Chahwa, Kitelela Mahoma Makulu, Itega..
KARIBU TUKUUZIE VIWANJA VYA BEI NAFUU