Mbao za plastiki na fensi4inchx2inch urefu 7

Mbao za plastiki na fensi4inchx2inch urefu 7 - Tanzania
  • Mbao za plastiki na fensi4inchx2inch urefu 7 - Tanzania
Description :

Tunakuletea mbao za plastiki na nguzo za plastiki, Nguzo na mbao imara ambazo zimetengenezwa kwa taka za plastiki, mbao na nguzo ambazo haziozi, jaziliwi na mchwa, hazibunguliwi, haziliwi na wadudu, hazipati kutu, zinadum kwa mda mrefu tofauti na mbao za kawaida pia bei zetu ni nzuri

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data