Maumivu Ya Mifupa Kwaheri

Maumivu Ya Mifupa Kwaheri  - Tanzania
  • Maumivu Ya Mifupa Kwaheri  - Tanzania
Description :

Ni dawa asilia ya kihindi (Ayurvedic), NI YA MAAJABU KABISA

Bei
Inatibu magonjwa ya mifupa kwa mifupa iliyovunjika au kuharibika, mifupa iliyo na low density, yaani iliyopoteza ujazo na nguvu, kuvunjika kwa aina zote au kujiachia mfupa na maumivu katika viungo.

Mbali na kutibu mifupa, huondoa uvimbe na maumivu makali yaliyokithiri
Ni nzuri kwa maumivu ya viungo baada ya homa kali iliyotokana na virusi

Yaani mfupa uliovunjika unachukua WIKI TATU TU kujiunga, Tena ukitumia dawa hii kwa kumeza

YAANI unaambiwa ni kichocheo cha asili cha kutibu mifupa na kuondoa maumivu faster!...ndani ya masaa 12 hadi 48 inaondoa maumivu ya ajabu sana mwilini. Inaondoa uvimbe ndani ya siku 5 hadi 10.

Imetengenezwa kwa kutumia pure Abha Guggulu herbs (bark) extracts

Mimea nguli kabisa katika bidhaa hii ni:
🌿Amla... antioxidant..inachochea kuivuta calcium na kuzuia mifupa kuharibika.
🌿Baheda -bibhitak (Terminalia bellirica) inaondoa uvimbe na maumivu
🌿Garlic acid (kitunguu swaumu), black pepper, long pepper 🌶️ kuongeza uvutaji wa madini muhimu kwenye mifupa.
🌿Zingiber officinalis, inaondoa maumivu na kujaza madini na lishe.
🌿Commiphora mukul, inaondoa uvimbe na maumivu katika misuli inayoshikilia mifupa, inaimarisha mifupa na viungo.
🌿Ghee....samli ya ng'ombe.

Hii ni tiba ya kufaa sana.

KARIBU
TUNASAFIRISHA DAWA MIKOA YOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI KWA UAMINIFU MKUBWA

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data