MAUMIVU WAKATI WA HEDTHI

MAUMIVU WAKATI WA HEDTHI - Tanzania
MAUMIVU WAKATI WA HEDTHI - Tanzania
  • MAUMIVU WAKATI WA HEDTHI - Tanzania
  • MAUMIVU WAKATI WA HEDTHI - Tanzania
Description :

*MAUMIVU WAKATI WA HEDTH*
Kwanini Unapata Maumivu Wakati wa Hedhi??
>Tatizo hili la kupata maumivu wakati wa Kukaribia hedhi au wakati wa hedhi kitaalamu huuitwa DYSMENORRHEA.Hili hutokea pale ambapo misuli ya ukuta wa tumbo la uzazi kukaza na kupelekea Maumivu.

DALILI;
1.Maumivu chini ya tumbo/Unaweza kupelekea mtu kuzimia na naumivu haya huanza na kuongezeka
2.Maumivu ya kiuno,mgongo,mapaja
3.Kichefuchefu na kutapika
4.Kuharisha
5.kupata homa.

SABABISHI;
>>Maumivu haya husababishwa na mambo ya fuatayo;
✅Mvurugiko wa homoni.
✅Magonjwa ya via vya uzazi (Pelvic inflamatory Disease PID)
✅Fibroids (uvimbe Kwenye ukuta wa mjin wa uzazi)
✅Ovarian cysts (vimbe Kwenye mfuko wa mayai)
✅Endometriosis,ni hali ambayo misuli ya mji wa mimba kutoka nje kwa kujikunja/kusinyaa

Aina za Dsymenorrhea;
1.primary Dsymenorrhea
Aina hii hutokea maumivu ya muda mfupi siku mbili mpak tatu na hujirudia rudia kila mwez.

2.secondary Dsymenorrhea;
Maumivu yake ni makali sana na husababishwa na uhalibifu wa baadhi ya viungo vya uzazi kuharibika au kupAta shida au ugonjwa .

Aina zote hizi zinaweza kutibika kwa njia rahis bila kujirudia rudia

Kwa ushauri na msaada call/What's app +255629394906

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data