MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME

MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
  • MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME - Tanzania
Description :

Kuna watu wengi sana hivi leo wanaodai kutibu tatizo la nguvu za kiume. Ukweli wa mambo ni kwamba siyo kweli! Yaani siyo kweli kabisa. Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kutibu tatizo hili. Na ni watu wachache sana wenye kuelewa matibabu sahihi.

Utakuta mtu au kampuni inatangaza dawa ya aina moja kuwatibu watu wote wenye matatizo ya nguvu.. Tabia hii pia imejengeka kwa baadhi ya watu, hunipigia simu au kuniandikia baruapepe na kuniuliza moja kwa moja, "Daktari, dawa za nguvu za kiume ni shilingi ngapi?"

Hii ni dalili kwamba watu hawajui maana ya kupungukiwa nguvu za kiume. Na hawajui nguvu za kiume ni nini? Na kwa kutokujua huwafanya waendelee kuteseka. Tatizo la nguvu za kiume, haliwezi kutibiwa kwa njia hiyo hata siku moja.

Ndugu wapendwa, mimi siuzi dawa, nafanya matibabu. Kwa nini? Kila mwanamume ana sababu na chanzo chake cha kupungua nguvu za kiume. Kama wanaume 100 waliopungukiwa nguvu za kiume watajipanga mstari kwa daktari mjuzi na mtaalamu, basi kila mgonjwa atakuwa na sababu yake na chanzo chake cha kupungukiwa nguvu za kiume tofauti kabisa na mwingine. Na hivyo, kila mgonjwa atapewa dawa yake ya kipekee kabisa tofauti na mwingine.

Sasa itashangaza kuona huyu kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na mishipa ya ateri kutofanya kazi vizuri, na yule kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na kuvimba kwa tezidume, ati wote wapate dawa aina moja! Hiki ndicho kinachofanyika na watu wengi wamepoteza pesa na muda kwa matibabu kama haya yasiyokuwa na maana.

Yahitajika daktari mtaalamu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume, na anayeujua utendaji wa mwili wa binadamu kwa ujumla. Huyu ndiye anayeweza kutibu tatizo la nguvu za kiume. Yaani, daktari ambaye anajua vizuri ndani na nje utendaji wa figo, ini, moyo n.k; ama awe ni daktari wa tiba asilia au daktari wa tibakemikali (yaani daktari wa hospitali) siyo kila mtu tu au kila daktari. Hata kama utakwenda kwenye hospitali kubwa yoyote duniani unayoijua, na ukagonga hodi katika chumba cha daktari, ukamwambia, "Nina tatizo la upungufu au kuishiwa nguvu za kiume," atakurifaa kwa daktari maalumu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo. Hata kwa madaktari wa tiba asilia, hali ni hivyo hivyo, lazima ukutane na ambaye amebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.

KWA NINI AWE MAALUMU?
Kwa sababu unapotibu nguvu za kiume unakuwa unatibu viungo vya mwili kwa ujumla. Daktari aliye mtaalamu na aliyebobea katika viungo vya uzazi vya mwanaume anakuwa ana uwezo wa kutambua tatizo la kiungo kilichokorofisha mwilini kutokana na kumhoji mgonjwa; na anaweza kwenda mbali zaidi kwa kujiridhisha kwa kumshauri mgonjwa afanye vipimo gani sahihi. Na anaweza kujua ni vyakula gani anavyopaswa mgonjwa kutumia kulingana na tatizo lake. Narudia tena na tena, upunguvu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kwenye chanzo cha tatizo, na si vinginevyo.

DR. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume anakutibu hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika. Wala si ya kubahatisha.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data