MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
 • MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
 • MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
 • MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME - Tanzania
Description :

MATATIZO YA UZAZI WA MWANAUME!

Kipimo cha Sperm Analysis

Wataangalia;
➡️Sperm mobility (Uwezo na speed ya kuogelea na kurutubisha)
➡️Sperm Mortality (Zipo na zinazalishwa?)
➡️Sperm morphology (Head & tail) (Zmekamilika kiumbo)
➡️Sperm count (Kiwango)
➡️Kama mirija ipo sawa
➡️Hapa unaangalia na Sperm pH (Alkalinity, Acidic or Base/Neutral) Zinatakiwa Kuwa Normal 7.0 ikizidi au Kushuka huwezi tungisha mimba

Wanaume wengi tunakamatika hapa;
➡️Unatoa Shahawa ila hazina nguvu, ya kutembea, kuogelea na kurutubisha
➡️Shahawa Zina nguvu ila hazina vichwa au mikia
➡️Shahawa zinazalishwa ila ni chache au maji
➡️Shahawa zipo ila hazitungishi mimba

Husababishwa na;
➡️Kujichua na kuathiri nguvu ya mirija
➡️ Kulegea kwa Misuli ya Pelvic
➡️ Matumizi ya dawa za hospitali kupita kiasi
➡️ Matumizi ya vyakula Vyenye kemikali, mafuta mengi, sukari nyingi
➡️Matumizi ya pombe, sigara na madawa ya kulevya
➡️Mlo mbovu
➡️ Matumizi ya Vinywaji vya Viwandani na kahawa za mtaani
➡️ Matatizo ya kisaikolojia/Ugomvi katika mahusiano
➡️ Magonjwa kama; Kisukari

Our safety tips

 • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
 • At all costs, avoid paying before seeing the item.
 • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
 • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
 • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
 • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
 • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data