Description :
Bunduki ya kufanya Massage ya mwili mzima
Ni kifaa pekee kitakachokuwezesha kufanya massage ya mwili wako kuanzia kwenye kichwa mpka miguu..
Kinatumia umeme baada ya kuchajiwa kina meno tofauti tofauti yatakayokusaidia kufanya massage kila Eneo la mwili wako.
Masaage husaidia mzunguko mzuri wa damu na Pia hata wale wenye tatizo la ukakamavu wa misuli na uchovu wa kAzi suluhisho hili hapa.
Bei yake ni 100,000tsh
✅Free delivery
✅Utalipia Mzgo ukifika
✅Mikoani tunatuma