Rooms3
Description :
Inauzwa nyumba ipo kimara kijiweni kwa mama Stella
Milion 40 inapungua
km 3 toka mwendo Kasi kimara ina vyumba v3 sebule daining jiko chumba master public Eneo sqm 400
eneo lishapimwa bado hati karibu Sana maji umeme vipo karibuni
0629671030