Rooms7
Description :
Ipo kitunda kivule frem kumi jiji ilala
milion 35 inapungua pia
nyumba kubwa ina vyumba v3
dining na siting
stoo na jiko
umeme na maji
tailiz na aluminiam
nyumba ndogo ina vyumba v3
jumla ya vyumba ni 6 na sebule
eneo ni mita19/18 na parking ipo
unatembea tu had stend< njoo ukague ulipie