Rooms4
Description :
Pagale linauzwa bei mil 22 maongezi yapo pagale lipo tegeta a ukubwa wa eneo sqm 400 umbali toka barabara ya goba ni miter 800 kiwanja kimepimwa bado hati pagale lina vyumba v4 sebule jiko daining chumba master public karibu mteja