Transaction Typesell
Area960 m2
Description :
⚫Viwanja vipo umbali wa Kilometres 4 kutoka barabara ya rami.
⚫Bei yetu ni 25,000 kwa square meter moja.
⚫Mradi huu wa Viwanja upo Kilometres 1 kutokea Mchango wa Pesa Beach.
⚫Viwanja vimepimwa na vina hati.
⚫ Kutembelea site ni kila siku.
⚫Viwanja vinafaa Kwa Makazi na biashara.
⚫Vipo viwanja vya ukubwa mbalimbali.
⚫Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, KARIBU.