MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO. MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO.

MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO.  MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO. - Tanzania
  • MAGONJWA YA MOYO, CHANZO CHA MAGONJWA YA MOYO.  MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO/KUTANUKA KWA MOYO. - Tanzania
Description :

DAWA YA ASILI YENYE UWEZO WA KUTIBU MAGONJWA YA MOYO.

Magonjwa ya moyo ni moja kati ya magonjwa yenye kuua na kuangamiza watu kila mwaka, karibu watu millioni 18 kila mwaka hupoteza maisha kutokana na maradhi ya moyo.

Kwa upande wa Tanzania, kasi ya magonjwa ya moyo iko juu kila kukicha.Kwa mujibu wa Report iliyotolewa hivi karibuni na Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete, kadirio la watu 400 la watu wenye changamoto na presha na magonjwa ya moyo huudhuria kituoni hapo.

Hii inaonyesha kiasi gani maradhi haya ni hatari, huku chanzo kikubwa cha magonjwa haya kikitajwa kuwa ni ulaji, unywaji na uvutaji usiofaa.

Majonjwa haya yanapotokea mara nyingi huanza kama presha ya kupanda, ongezeko hili la presha ndio hupelekea utanukaji wa misuli ya moyo na baadae kupelekea moyo kushindwa kufanya kazi, shambulio la moyo na kifo cha gafla.

Ni muhimu zaidi kuipambania afya yako, afya yako inawategemezi wengi nyuma yako.Kupotea kwako kutokana na maradhi haya utaacha walio wengi tegemezi.

Ziko dawa za asili zenye uwezo wa kukusaidia na kuurejesha afya ya moyo wako kwa ufanisi mkubwa ndani muda mchache bila any side effects.

Dawa hii inatibu magonjwa kama utanukaji wa misuli ya moyo, kutanuka kwa moyo, ongezeko la juu la presha, moyo kushindwa kufanya kazi, chembe ya moyo, shambulio la moyo na kuvurugika kwa mfumo wa umeme na mapigo ya moyo mwilini.

Haya yote yanawezekana kwa matumizi ya dawa hii Black powerful powder.

Kutokana na ufanisi mkubwa wa dawa hii huweza kuondoa kabisa dalili za magonjwa ya moyo kama kupumua kwa shida, kukosa pumzi, kifua kubana, maumivu ya kifua, mwili kuishiwa nguvu na kutokwa na jasho jingi.

Tunatumia program ya Cardiac Rehabilitation Service hivyo kutufanya kuwa na ufanisi na uhakika wa tiba zetu ndani ya masiku machache.

Waweza wasiliana nami kwa Ushauri,maulizo na mahitaji ya dawa ikiwa uko tayari.

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data