Mafuta Mabaya Mwilini

Mafuta Mabaya Mwilini - Tanzania
  • Mafuta Mabaya Mwilini - Tanzania
Description :

#athari za mafuta mwilini na njia ya kuyatoa

ni vizuri kuwa mwangalifu na vitu tunavyovitumia ktk maisha yetu ya kila siku pamoja na kila kitu kinapangwa na mwenyezi mungu
.Tatizo la unene huwa ndio chanzo cha magonjwa mengi mengine kwani eneo kubwa ya damu [high blood pressure]
hutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini ambayo hupelekea mirija ya kusaffirishia damu kuwa na mafuta.

hii husababisha njia ya kupitishia damu kuwa nyembamba hivyo husababisha nguvu ya ziada itumike kusukuma damu ili isambae mwilini kama inavyotakiwa nguvu hii ya ziada huongeza au kupunguza mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na yanapungua sana ni hatari pia.

hivyo tusi nenepe sana vilevile matatizo haya huambatana na matatizo mengine ya moyo.
mafuta mengi huleta madhara hasa kwa wagonjwa wa kisukari.

mafuta na sukari ni chanzo vinapokuwa pamoja kila moja wao anataka awe yeye ndio wa kwanza kutoa nguvu mwilini kwa wagonjwa wa kisukari.
sukari zao hushindwa kugombania nafasi na mafuta iwapo yatakuwa mengi
hivyo ni vyema kuwapunguzia wagonjwa wa kisukari

mafuta mengi kwenye vyakula pia huzuia ufyozwaji wa madini ya #calcium mwilini kazi za madini mwilini ni nyingi sana mfano kukunja na kunyooka kwa viungo mifumo ya ufahamu uimara wa mifupa na meno n.k
hivyo basi tusile kupita kiasi.

mafuta mengi mwilini huweza kusababisha magonjwa ya kibofu kutengeneza vijiwe kwenye kibofu ambayo ni hatari kwa afya.

ni vyema kuyatumia mafuta kama kiungo muhimu ktk vyakula lakini si kama chakula kikuu na ni bora kutumia mafuta yatokanayo na mimea kama alizeti au michikichi n.k kuliko yatokanayo na wanyama mafuta yatokanoyo na wanyama yana yana[ cholostrole] ambayo ni hatari kwa magonjwa mengi mfano ya moyo na kibofu.

mwili unauwezo wa kutengeneza cholestrole yake kwa kiwango kinachohitajika tunapozidisha ndio tuna tunaishia kwenye kwenye madhara na sio faida.

#product hii inauwezo mkubwa sana wa kuondoa mafuta mabaya mwilini.

#omega 3.
utafiti ulifanywa na #wajapani kwanini hawaugui magonjwa ya kansa,kisukari na magonjwa ya moyo ikaonekana wajapani wanatumia sana vyakula vya baharini ukilinganisha na watu wa magharibi wanaotumia mafuta ya wanyama.

#choleduz imetokana na mafuta ya samaki aina solmon anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya artic anayetoa omega 3{750 mg} na mafuta ya mizaituni yanayotoa omega 9{250 mg} mafuta haya yanasaidia kuondoa #cholestrole.

bidhaa hii husaidia ukuaji na ufanyaji kazi mzuri wa macho na ubongo kila kidonge kina vijiko vya chai vya mafuta ya samaki 30.bidhaa hii ipo katika mfumo wa vidonge.

#faida
ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu matatizo ya hormones,afya,ngozi huongeza nguvu na kinga ya mwili #cholestrole,#arthitis,#macho kutokuumbika vizuri #misuli kukosa nguvu kutekenyeka kwa #viganja na #miguu huzuia kansa ya #maziwa,#prostate na matatizo ya #stroke.

kwa maelezo yote niliyoyatoa kama umevutiwa nayo na unahitaji hii bidhaa nitafute kupitia no 0744683601. au whatsap kwa namba 0657491703

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data