Mafunzo Binafsi Ya Digital Marketing Kwa Wafanyabiashara

Mafunzo Binafsi Ya Digital Marketing Kwa Wafanyabiashara - Tanzania
  • Mafunzo Binafsi Ya Digital Marketing Kwa Wafanyabiashara - Tanzania
Description :

Private Masterclass

Wafanyabiashara wengi wanakumbana na changamoto kubwa ya kuweza kupata masoko sahihi katika biashara zao kupitia mitandao ya kijamii kitu ambacho kimesababisha kuendelea kutumia njia za kizamani kutafuta wateja na hata kufanya mauzo ya bidhaa/huduma zao.

Tatizo kubwa ni kwamba wengi hawajui ni kwa namna gani wanatakiwa kutumia mitandao yao ya kijamii kupata masoko na kufanya mauzo kwa wepesi,kutokana na changamozo hii AKILI YA USHINDI kupitia Akili Digital Service tumekuja na PRIVATE MASTERCLASS ambayo utakapomaliza mafunzo yake basi utakuwa na uwezo wa kufanya haya kwa manufaa ya biashara yako;

Note; MAFUNZO YETU HAUACHWI MPAKA UPATE MATOKEO AMBAYO TUMEPANGA KUYAPATA KATIKA BIASHARA YAKO.

What do you have to sell?

Sell everything for free on jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data